The "Divine Mastery" Kit (Mkataba wa Mafanikio Yako")

Offer!!!offer
KES 7,000.00 KES 6,000.00

Hiki ni chombo cha nguvu kwa ajili ya wale wanaotaka kutawala maisha yao ya kiroho na kimwili. Ni shajara ya "Maagano" (Covenants) ambapo unaandika maono yako na kuyaona 

Kilichomo. Shajara kubwa ya ngozi (Leather-bound journal) yenye nembo ya The Golden Seal.

​Mafuta maalum ya utulivu na upako (Anointing Essential Oil) kupaka kwenye paji la uso kabla ya kuandika.

​Picha ndogo ya kimalaikia ya kuweka mezani kama kikumbusho cha ulinzi wa kimbinguni.

​Faida: Inaimarisha imani, inajenga nidhamu ya kiroho, na inasafisha njia ya mafanikio makubwa