The Transformation Kit (Safari ya Mageuzi)Geuza Maumivu Kuwa Nguvu"
Offer!!!!offer
Iliyoundwa kwa ajili ya mtu anayepitia kipindi cha mabadiliko (kama vile kuacha kazi, kupona maumivu ya mahusiano, au kutafuta mwelekeo mpya). Seti hii inatengeneza mazingira ya madhabahu ndogo ya amani nyumbani kwako.
Kilichomo: * Shajara ya kiwango cha juu (Premium Hardcover) inayodumu kwa miaka.
- Mishumaa miwili ya utulivu (Lavender/Sandalwood) kusafisha nishati unapoandika.
- Kadi za maombi ya kila siku ya kuvunja vifungo vya kifikiria
- Faida: Inasaidia kutoa hisia nzito zilizojifich moyoni na kualika amani ya kimalaikia.Faida: Inasaidia kutoa hisia nzito zilizojificha moyoni na kualika amani ya kimalaikia.