Gold Package (10 Sessions) – "The Divine Maste
Offer!!!!Offer!!!
Hiki ndicho kifurushi bora zaidi na chenye nguvu kubwa. Ni kwa ajili ya wale waliojipanga kufanya mageuzi makubwa ya kimaisha. Inajumuisha uponyaji wa kina, maombi ya breakthrough ya kila mara, na upatanisho kamili na ulimwengu wa nuru.
Lengo: Ushindi kamili, ulinzi wa kiroho wa kudumu, na kufunguka kwa milango yote ya baraka.
Faida: Unakuwa na practitioner wako karibu kwa muda mrefu, unajengewa ngao ya kiroho, na unapata matokeo ya kudumu ambayo hayatikisiki..