Silver Package (5 Sessions) – "The Transformation"
Offer!!!!!Offer!!!!
Safari ya mabadiliko ya kweli huanza hapa. Katika hizi sessions tano, tunachimba ndani zaidi ili kuondoa mizizi ya matatizo ya kiroho na kihisia ambayo yamekuwa yakikuzuia kwa muda mrefu.Lengo: Kuponya majeraha ya ndani na kurejesha furaha iliyopotea.
Faida: Unapata ufuatiliaji wa karibu (consistent monitoring) na kuanza kuvutia fursa mpya maishani mwako.