Bronze Package (3 Sessions) – "The Awakening"
Offer!!!!Offer!!!!!
Hiki ni kifurushi cha kuanzia kwa wale wanaohitaji kuamsha nguvu zao za ndani. Inalenga kuondoa msongo wa mawazo wa haraka haraka na kuanza mchakato wa kusafisha nishati hasi.Lengo: Utulivu wa akili na kuanza safari ya uponyaji.
Faida: Unapata mwongozo wa kwanza wa kimalaikia na kuanza kuona mabadiliko katika hali yako ya kila siku.